Muungano wa wafanyakazi wa nyumbani, ambao umesajili zaidi ya wafanyakazi wa nyumbani 16,000, umekuwa ukiandaa vikao mara kwa mara kusikiliza malalamishi na kuwahamasisha wanachama.
Video ambayo imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii imemwonyesha kijana huyo Mamoudou akipanda kwa kasi kwa mbele kwenye ghorofa hiyo ... wa mtoto hawakuwa nyumbani wakati tukio hilo.
Unganisha! Imependekezwa makala hii iunganishwe na Mifugo. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Chagua moja kati ya makala ili ibaki (kwa kawaida ile yenye jina sahihi zaidi), ingiza ...
Tulipanda ngazi hadi ghorofa ya kwanza. Kumbe Mustafa alikuwa amepangisha chumba maalum kwa ajili ... Alinifikisha na gari mahali pale pale aliponifikisha jana yake akanipa pesa hizo kisha akaondoka ...
Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amekamatwa na polisi asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 23, 2024. “Lissu amekamatwa nyumbani kwake Tegeta na ...
Ukistaajabu ya Taifa Stars utashangaa ya Black Stars ya Ghana baada ya timu hiyo kukubali kipigo cha bao 1-0 nyumbani kutoka kwa Angola. Kikosi cha Ghana Ghana licha ya kutawala mchezo wa kuwania ...
Mito mingi imefurika kingo zake, na kusababisha maji kufurika katika ghorofa za chini za baadhi ya nyumba. Jiji la Wajima lilikumbwa na uharibifu mkubwa katika tetemeko la ardhi la Januari mosi.
Kwenye majengo kama hayo, kelele huwa zinasambaa kwenye vyumba vya jirani au kwenye ghorofa za juu na chini, hivyo umakini unahitajika hususan asubuhi na mapema na usiku. Taarifa hii ni sahihi ...
Ujerumani imewarejesha nyumbani raia wa Afghanistan, ikiwa ni mara ya kwanza tangu Agosti 2021 tangu kundi la Taliban kurejea madarakani. Ndege ya kwanza ya Qatar imeondoka mapema leo katika ...
Urusi imelenga jengo moja la ghorofa katika mji wa kaskazini mashariki wa Kharkhiv leo, wakati wa mashambulizi ya makombora ya kuongozwa, na kuwauwa takriban watu watatu na kuwajeruhi zaidi ya 22.