KIKOSI cha Yanga usiku wa jana kilikuwa uwanjani kuumana na KMC katika mechi ya Ligi Kuu Bara na sasa kinajiweka sawa ...
HALI imeendelea kuwa ngumu kwa Manchester United, baada ya jana kuchapwa mabao 3-0 na Tottenham kwenye Uwanja wa Old Trafford ...
BAO la penalti ya utata lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Charles Ahoua dakika ya 63, limetosha kuipa Simba pointi tatu ...
HALI ya Kagera Sugar sio nzuri, kwani juzi imepoteza mechi ya nne kati ya sita ilizocheza katika Ligi Kuu Bara ya msimu huu ...
LICHA ya Real Madrid kuonyesha nia ya kutaka kumsajili beki wa Arsenal, William Saliba, inaelezwa mabosi wa washika mitutu ...
KAMA unadhani mwimbaji Aslay ni mkali wa kuimba muziki wa Bongo Fleva tu, umekosea kwani jamaa hadi katika taarabu yumu ...
LIGI Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate ...
KOCHA wa Manchester United, Erik ten Hag amesema anapenda kusikiliza wachambuzi kwani wapo wanaomsaidia kujenga timu ...
TUSIONGEE sana msimu bado mrefu. Hata hivyo, naanza kupata mawazo kuhusu ule upande wa kushoto wa Mohamed Hussein ‘Tshabalala ...
BAADHI ya wadau wa soka jijini hapa wamemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Mwanza (MZFA), Vedastus Lufano kujiuzulu ...
KOCHA Mkuu wa Tabora United, Mkenya Francis Kimanzi amesema, anahitaji muda zaidi ili kutengeneza kikosi cha ushindani msimu ...
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema Chelsea imewapa tabu mastaa wake iliowasajili kwa pesa nyingi kama Moises Caicedo na ...