Kwenye majengo kama hayo, kelele huwa zinasambaa kwenye vyumba vya jirani au kwenye ghorofa za juu na chini, hivyo umakini unahitajika hususan asubuhi na mapema na usiku. Taarifa hii ni sahihi ...
Kulingana na Toro katika kitabu chake, binti mwingine wa Isabel Hinojosa alisema Bustamante alikuwa mtu wa mwisho kuwaona wakiwa hai baada ya kuwapeleka nyumbani kwake. “Nilianza kuchambua tabia ...
Isla Fisher has delayed the sale of her Sydney apartment just hours before it was due to go under the hammer at auction. The Wedding Crashers star, 48, purchased the apartment, located in the ...
Hezbollah imethibitisha kuwa shambulizi la anga kwenye jengo la ghorofa kusini mwa Beirut lilimuua mkuu wa kitengo cha ndege zisizo na rubani, Mohammad Surur. Hofu ya kutokea kwa vita kila mahali ...
Tulipanda ngazi hadi ghorofa ya kwanza. Kumbe Mustafa alikuwa amepangisha ... aliponifikisha jana yake akanipa pesa hizo kisha akaondoka na gari lake. Nilipofika nyumbani nilioga kisha nikaketi ...
Dk Mwigulu amesema kama kuna anayetaka kununua samani kutoka nje ya nchi, afanye hivyo kwa fedha zake na kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwake. Amesema hayo leo Jumamosi Septemba 28, 2024 alipopokea ...
Wahenga wa Dar es Salaam, hawatosahau usafiri wa mabasi ya ghorofa na yale ya Ikarus maarufu kwa jina la ‘kumbakumba’. Ikarus yalikuwa mabasi marefu yakimilikiwa na lililokuwa Shirika la Usafiri Dar ...
Amina akakata simu. Tamaa ya pesa alizokuwa akipata mwenzangu ilinifanya niwe mpuuzi. Na siku ile ndio niliyoanza kukosa uaminifu kwa Musa, kuondoka nyumbani kwenda sehemu ya starehe bila ruhusa yake.
Mwenyekiti husika akakaririwa, amesema marehemu hao walikutwa na madhila wakiwa wanarudi nyumbani, kutokea kijiji chao kiitwacho ... alitaka kujirusha kutoka juu ya ghorofa ya nne. Ikaatarifiwa ...
Ni vyema kuchukua hatua. Kupanga sehemu za makazi, nyumba za aina tofauti, ghorofa fupi, ndefu, makazi ya viongozi, huduma za biashara, maduka, suparmaket, nyumba za ibada, shule na hospitali. Miji na ...